Kitabu hiki kitakupa uwezo wa kujifunza uzalishaji wa bidhaa mbalimbali. Utajifunza Uzalishaji, Malighafi na zaidi.
** Utaweza Kutengeneza Bidhaa Za Ujasiriamali Bila Kuelekezwa na mtu. Maelekezo Yapo Mwanzo Mpaka Mwisho.
Hatua Kwa Hatua
Kijitabu hiki kitakupa uwezo wa kujifunza uzalishaji wa bidhaa mbalimbali, hatua kwa hatua. Utajifunza Uzalishaji, Bidhaa, Malighafi na mengine mengi.
Utaweza Kutengeneza Bidhaa Zaidi Za Ujasiriamali bila kutegemea maelekezo ya mtu. Maelekezo yote ni ya mwanzo mpaka mwisho.
Maelekezo ya kwanza mpaka mwisho — hakuna kitu cha kuachwa. Kila hatua imeelezwa kwa uwazi.
Orodha ya malighafi na bei zake. Utajua kila kitu kinagharimu kiasi gani kabla ya kuanza.
Sio kama kurasa nyingine zenye matangazo. Hapa maelekezo yote ni ya moja kwa moja.
Jinsi ya kurekebisha bidhaa ili iwe na kiwango cha juu na kushindana sokoni.
Mwongozo wa jinsi ya kuuza, kuweka bei, na kupanua biashara yako hatua kwa hatua.
Ungana na wajasiriamali wengine walionunua kitabu na kufanikiwa kutengeneza bidhaa.
Kitabu hiki ni kwa ajili ya kila mtu anayetaka kujifunza kutengeneza bidhaa kwa ajili ya biashara. Iwe wewe ni mwanafunzi, mama wa nyumbani, au mtu anayefanya kazi — maelekezo ni rahisi.
Hapana! Kitabu kinamaelekezo. Kila maelekezo unaanza na vitu vya msingi na kuendelea hatua kwa hatua.
Ndio! Unaweza kulipia kwa Tigopesa (MixbyYas), airtel money n.k.
Kuna link utapata yakupakua (ku download moja kwa moja).
Kitabu kina orodha ya malighafi zinazopatikana Tanzania. Karibuni tuwaweka links za wauzaji wa malighafi hapa (Tupigie kama ni muuzaji tuweke taarifa zako hapa 0795757460).
"Nimejifunza kutengeneza sabuni. Kwa Tsh 5,000 tu?. Asante kwa kitabu hiki!"
"Maelekezo ni mazuri. Sasa nimeweza kuanza ujasiriamali. Nilianza na Tsh 15,000 na sasa nina mtaji wa laki tatu na tisini."
"Kitabu kizuri sana! Ningependa muongeze masomo zaidi ya vyakula. Lakini kwa sasa nimefurahia sana nilichojifunza."
Usikose nafasi ya kujifunza stadi za uzalishaji wa bidhaa. Kwa Tsh 5,000/= tu, utapata mwongozo kamili wa kuanza biashara yako.